WAMESEMA KUA WALISHA MUONYA MALA NYINGI SANA ILA HATAKI KUBADILIKA,
MIONGONI MWA MAKOSA YANAYO MKABILI NI KUTUNGA NYIMBO INAYO ONEKANA
KULETA UCHOCHEZI KWENYE JAMII.
WASANII WENGI NCINI WAMEONYESHA KUSIKITISHWA NA TAARIFA ZA KUKAMATWA KWAKE NA WENGI WAMEJALIBU KUSEMA HUO NI OUNEVU ZIDI YA WASAANII WA KIZAZI KIPYA.
HIVI KARIBUNI KUMEKUA NA MAMBO MENGI YANAYO ENDELEA MTANDAONI MIONGONI MWA MAMBO HAYA NI PAMOJA NA TUHUMA ZINAZO MKABILI MKUU WA MKOAS WA DAR ES SALAAAM.
MJADALA HUO UMEUBUA MAMBO NA BAADHI YA MAMBO YAME IMBWA NA MSANII NEY WA MITEGO KATIKA WIMBO ULIO TOKA HIVI KARIBUNI UNAOKWENDA KWA JINA LA WAPO
MIONGONI MWA WASANII WALIO ELEZA DUKU DUKU LAO JUU YA SWALA LA NEY NI
PAMOJA NA NIKIN WA PILI PAMOJA NA KALA JEREMAYA NA WENGINE WENGI
1 comments:
kulingana na maono yangu, cioni kma hili ni swala kuu bt kuna verses flni kama "viongozi wavutaji bangi"hio ndio mbaya aliwaingililia xana ambapo ni mbaya hata kwa rais !
ReplyPost a Comment